English
中文
Français
Kiswahili
MIMO GROUP (E.A.) LTD ilianzishwa mwaka 2004, kampuni hii inapatikana Afrika mashariki na nchini china ikiwa na matawi kumi kwa ujumla ambayo hupatikana nchini China, Uganda, Tanzania na Rwanda. Makao yake makuu yapo nchini Kenya.
Kundi hili linafanya biashara zake katika nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, na pia nchi jirani kama Sudan Kusini, Congo, Malawi, Zambia, Msumbiji na Ethiopia.
kundi la MIMO lina wafanyakazi wazawa wa Afrika Mashariki takriaban mia tatu na wafanyakazi wa China zaidi ya ishirini, na pia kundi hii lina timu ya kitaalamu ya usafirishaji iliyo na zaidi ya malori ishirini ya mizigo ambayo hutumika kwa usafarishaji wa umbali mrefu wa makontena na shehena kubwa kati ya nchi mbalimbali za Afrika Mashariki.
Kundi Hili limefadhili karibu wanafunzi mia wenye uhitaji ndani na nje ya nchi ili kukamilisha masomo yao. Tangu Kuanzishwa kwake, kampuni imekuwa ikifuata kila wakati madhumuni ya ushirika ya “kuzingatia watu, Usimamizi wa uadilifu, ushirikiano wa kisayansi”, iliyofuata sera ya biashara ya “mafanikio ya ubora, Huduma kwanza”, na kuendelezwa kwa mwelekeo wa kiwango na maendeleo ya viwanda.
Kundi linafanya biashara yake katika nchi za Afrika Mashariki