English
中文
Français
Kiswahili
MIMO GROUP (E.A.) LTD ilianzishwa mwaka 2004, kampuni hii inapatikana Afrika mashariki na nchini china ikiwa na matawi kumi kwa ujumla ambayo hupatikana nchini China, Uganda, Tanzania na Rwanda. Makao yake makuu yapo nchini Kenya.
Kundi hili linafanya biashara zake katika nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, na pia nchi jirani kama Sudan Kusini, Congo, Malawi, Zambia, Msumbiji na Ethiopia.
kundi la MIMO lina wafanyakazi wazawa wa Afrika Mashariki takriaban mia tatu na wafanyakazi wa China zaidi ya ishirini, na pia kundi hii lina timu ya kitaalamu ya usafirishaji iliyo na zaidi ya malori ishirini ya mizigo ambayo hutumika kwa usafarishaji wa umbali mrefu wa makontena na shehena kubwa kati ya nchi mbalimbali za Afrika Mashariki.
Soma ZaidiKundi hilo liko Afrika Mashariki
Tumia vipengele vidogo kama "screws" kama hatua ya kuingia kuongeza bidhaa thamani pendekezo kwamba "maelezo kuamua mafanikio au kushindwa.
Kundi hilo liko Afrika Mashariki
Tunasafisha kile ambacho wengine wana, na kutoa kile ambacho wengine hawana!
Kundi hilo liko Afrika Mashariki
